TelephoneKenya.com huhakikisha simu za kimataifa ni za hali ya juu na bei nzuri katika soko.
Because we appreciate your loyalty, we believe you deserve something extra.
Kuanza leo, unaweza kujipatia pointi za Thank You kwa TelephoneKenya.com! Ni rahisi:
1. Ingia kwenye akaunti yako ya urejeleshi na upate kodi ya kipekee.
2. Sambaza habari
Julisha marafiki wako kuhusu TelephoneKenya.com.
Ingia tu kwa akaunti yako na ufuate maagizo yaliyopo.
Rafiki yako atahitaji kutumia kodi yako ya urejeleshi wakati wa kuunda akaunti nasi. Mara tu tunapokubali agizo lake la kwanza nasi, utajipatia pointi 500 za Thank You.
3. Keep calling
Kwa kila agizo unaloweka nasi, utapokea pointi za Thank You zinazolingana na 2% ya thamani ya agizo lako. Kwa mfano, kwa kila $20 unazolipa kwenye tovuti yetu utajipatia pointi 40 za Thank You.
Usisahau kuwa unaweza tumia TelephoneKenya.com karadha kupiga simu katika mataifa mbali mbali kwa bei nafuu zaidi.
4. Chukua Tuzo
Mara tu unapochukua pointi 1000 katika akaunti yako, unaweza kuzibadilisha na kuwa karadha.
Ingia tu kwenye akaunti yako na ubofye kitufe cha 'Convert'
Furahia simuu za bure kwa ukaribu wa TelephoneKenya.com!
MASWALI YA MARA KWA MARA
Je, ninaweza kuweka thamani ya fedha kwenye pointi za Thank You?Pointi za Thank You hazina thamani ya kifedha ya moja kwa moja
Kila pointi ya Thank You point inalingana na 1¢ ya malipo awali ya karadha kwa TelephoneKenya.com. Karadha hukuruhusu kupiga simu za kimataifa kupitia TelephoneKenya.com.
Ni wapi ambapo unaweza kuona idadi ya pointi za Thank You ambazo nimepata?
Unaweza kuona idadi ya pointi za Thank You umepata kwa ukurasa maskani wa akaunti yako.
Je kuna kikomo cha pointi za Thank You?
Pointi zako za Thank You hazitaisha kamwe.
Naweza kuhamisha pointi za Thank You kwa akaunti nyingine?
La. Pointi za Thank You haziwezi kuhamishwa kwa akaunti nyingine.
Ninapata pointi za Thank You nikiambia rafiki kuwahusu?
La. Unahitaji rafiki yako afungue akaunti kwa kutumia kodi ya urejeleshi uliyompa ili ujipatie pointi za Thank You. Pointi zitaonekana kwa akaunti yako baada ya agizo la rafiki yako kukubaliwa. Tafadhali kumbuka kuwa rafiki yako anafaa kufungua akaunti kwenye tovuti ambayo unayotumia.
Ninapata pointi za Thank You kwa karadha iliyopatikana kutoka kwa pointi za Thank You zilizopita?
La.
Ni wakati gani ambao ninaweza kubadilisha pointi zangu za Thank You kuwa karadha?
Unaweza kubadilisha pointi zako mara tu unaporundika kiwango cha chini cha pointi 1000, zinazolingana na karadha ya $10.
Pointi za Thank You na kuponi ni za kurundikwa?
La, hutapokea pointi za Thank You kwa agizo ambalo tayari ushatumia nafuu ya bei au kuponi ya bahashishi.
Pia, hutapokea pointi za Thank You kwa kuwaambia marafiki zako kutuhusu kama tayari wameshatumia kuponi au wamepokea nafuu ya bei kwa agizo lao la kwanza.
Je, Programu ya Thank You na programu ya Ushirika ni za kurundika?
La. Kwa kila mteja mpya aidha tume shirikishi au programu ya pointi za Thank You zitakuwa sahihi.
Programu ya The Thank You ina kipaumbele juu ya Washirikishi.
Maswali zaidi?
Tafadhali wasiliana na Huduma ya Wateja.
