Kanuni na Masharti
Kwa kutembelea na kununua TelephoneKenya.com unakubali Kanuni na Masharti haya.
TelephoneKenya.com ni huduma ya KeepCalling, mojawapo ya watoaji huduma za kimawasiliano ya kikabila iliyo Atlanta, Georgia. Lengo la KeepCalling ni kutoa huduma ya simu ya hali ya juu kwa malipo mazuri. Utumiaji wa tovuti hii unategemea ukubalifu wako wa kanuni na masharti yaliyopo hapa na mahali kwingine kwenye tovuti hii.USITUMIE TOVUTI HII kama huyakubali kanuni na masharti yaliyoandikwa hapa na mahali kwingine (ikijumlisha lakini hayajazuiliwa kwa: Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara, Sera ya Ubinafsi) kwenye tovuti hii.
Ni kosa NA hatia kununua bidhaa au huduma yoyote kwa njia ya udanganyifu. Bidhaa na/au huduma ambazo zimenunuliwa kwa tovuti hii hazitatumiwa kwa matumizi haramu. Kwa kutumia tovuti yetu, unawakilisha kuwa una umri wa miaka 13 kuendelea. Watu ambao wana takriban miaka 13 lakini chini ya umri wa miaka 18 wanaweza kutumia tovuti zetu wakiwa na ruhusa kutoka kwa walinzi au wazazi. Vile vile, unakubali kuwa una miaka takriban 18 au zaidi na una kibali cha mlinzi au mzazi, na unaweza kuingia katika kanuni, masharti na uwakilisho na waranti zilizowekwa katika Kanuni na Masharti; la sivyo tafadhali toka kwenye tovuti.
Kwa kutumia huduma ya malipo awali ya KeepCalling mtumiaji hukubali vipimo, kanuni na masharti yaliyowekwa kwenye tovuti hii, KeepCalling yaweza badilisha au kurekebisha Kanuni kwa wakati kwenye Tovuti hii. Keepcalling ina haki ya kubadilisha, rekebisha au kuachisha, kwa muda au kwa muda wa kudumu Tovuti (au sehemu yake), ikijumulisha yaliyomo yoyote na yote yaliyo kwenye Tovuti, wakati wowote bila ilani. Utakubali kuwa Keepcalling haitalaumiwa kwa mabadiliko, uachishaji au ukatizaji wa Tovuti.
Wakati wowote unapotupa maelezo kwenye Tovuti yetu, unakubali: (a) kutoa ukweli, sahihi, ya sasa na maelezo kamilifu na (b) kuweka na kusasaisha maelezo kama haya kuyaweka yakiwa ya kweli, sahihi, ya sasa na kamilifu. Ukitoa maelezo yoyote, au tuwe na sababu kabambe kushuku kwamba maelezo si ya kweli, sio sahihi, sio ya sasa na sio kamilifu, Keepcalling yaweza bila ilani kuachisha au kukatiza ufikivu wako wa Tovuti yetu na kukataza matumizi yote ya sasa au yajayo ya Tovuti yetu (au ya sehemu yoyote). Tafadhali chagua neno la siri amabalo Si wazi kwa mtu ambaye anataka kubuni jina lako la siri, na libadilishe sawia kama tahadhari, zaidi ya hayo tunapendekeza utumie neno la siri tofauti na akaunti za baruapepe kama hatua ya usalama. Ni wajibu wako kuweka usiri wa neno lako la siri na akaunti, na unawajibika kwa shuguli zote zinazotokea chini ya neon lako la siri au utambulishi wa akaunti yako. Unafaa kufanya juhudi zote kulinda namba ya akaunti yako na PIN. Keepcalling haitawajibika kwa PIN zilizoibwa ua matumizi yasiyoidhinishwa. Utakubali kuarifisha Keepcalling mara moja juu ya utumizi usioidhinishwa wa neno la siri au akaunti au uvunjaji wa usalama.
Udanganyifu wa Kadi Karadha ni hatia. KeepCalling tunatumia mashini na mikono kuthibitisha uidhinishaji barabara wa kadi karadha, ikijumuisha kupigia simu watu waliojiandikisha kwa huduma za KeepCalling na wawakilishaji wake. Pia tunafuata hinduo zote. Maelezo yanayohusiana na hinduo za udanganyifu, ikijumuisha lakini haijazuiliwa kwa anwani za IP, maelezo kamili ya simu, data ya hinduo na anwani za baruapepe hukusanywa na itatolewa kwa maafisa wafaao wanaosisitiza sheria zinafuatana na sheria husika wakati wanahitajika kusaidia katika kushtaki mtu yeyote anayejaribu kufanya uhalifu kwenye tovuti za KeepCalling.
Keepcalling ndiye mmiliki pekee wa maelezo yanayokusanywa kwa tovuti hii. Hatutauza, gawiza, au kodisha maelezo haya kwa nafsi ya tatu kwa uuzaji au sababu nyingine yoyote. Tunakusanya, tunaweka, na tunatumia maelezo hayo kukuhusu wakati tu tunahitajika kusimamia akaunti yako ya Keepcalling. Kwa hivyo, inahitajika utoe maelezo fulani wakati unapotumia sehemu za tovuti zetu. Maelezo kama haya hujumulisha jina (aidha jina lako, kampuni, au mashirika), anwani, nambari ya simu, anwani ya baruapepe, na maelezo mengine yanayokusanywa wakati wa mchakato wa kujiandikisha.
Keepcalling ndiye mmiliki pekee wa maelezo yanayokusanywa kwa tovuti hii. Hatutauza, gawiza, au kodisha maelezo haya kwa nafsi ya tatu kwa uuzaji au sababu nyingine yoyote. Tunakusanya, tunaweka, na tunatumia maelezo hayo kukuhusu wakati tu tunahitajika kusimamia akaunti yako ya Keepcalling. Kwa hivyo, inahitajika utoe maelezo fulani wakati unapotumia sehemu za tovuti zetu. Maelezo kama haya hujumulisha jina (aidha jina lako, kampuni, au mashirika), anwani, nambari ya simu, anwani ya baruapepe, na maelezo mengine yanayokusanywa wakati wa mchakato wa kujiandikisha.
Makubaliano ya Malipo Awali ya KeepCalling-Yanaweza Kubadilishwa Wakati Wowote kwa Hiari na Mapenzi ya Mtoaji Huduma
- Vipimo vyaweza kutofautiana na vyaweza kubadilishwa bila ilani ya awali.
- Vizuizi vya simu za bure: Nambari za Simu za Bure za Keepcalling zinapatikana kutoka Marekani pekee yake (48 Contiguous State). Haziwezi kufikiwa kutoka Alaska, Hawaii na Puerto Riko;
- Simu zilizopigwa kutoka kwa simu za malipo zinapatikana kupitia Nambari za Ufikivu za nchini tu.
- Keepcalling ina nambari anuwai za ufikivu zinazopatikana. Tafadhali rejea tovuti yetu ili kuhakikisha orodha kamilifu kabla ya kununua huduma.
- Simu zilizopigwa nchini Marekani kwa kutumia Nambari ya Simu ya Bure zitagharimu gharama ya ziada. Tafadhali rejea tovuti zetu kwa malipo yanayohusiana na simu za Ufikivu wa Bure zinazopigwa kutoka nje ya Marekani.
- Kwa kutumia Nambari za Ufikivu za nchini mtumiaji hukubali malipo kwa simu za nchini kwa nambari yetu kutoka kwa kampuni inayotoa huduma ya simu.
- Vipimo vyote kwenye tovuti zinapigwa hesabu kwa Sarafu ya Juu Kabisa ya Mipango ya Kupiga Simu
- Bei huonyeshwa kwenye tovuti na tovuti zingine zinazohusiana katika Dola ya Marekani. Malipo yoyote yanayofanywa katika sarafu nyingine yoyote yatabadilishwa, kwa gharama ya anayelipa, kwa bei katika Dola ya Marekani kabla ya kutumiwa katika ununuzi.
- Simu hukadiriwa kwa mwongezeko wa dakika moja, na sehemu za dakika moja.
- Mauzo yote ni ya mwisho. Nambari za Pin, mara tu zinaposalia hazina fidia, haziwezi kuhamishwa na haziwezi kubadilishwa. Namba za Pin hazina thamani yoyote ya kifedha.
- Bila pin sio kipengee msingi na mara mteja anapochagua kuseti namba ya simu kwa kupiga simu bila pin anawajibika kwa simu zote zinazopigwa kutoka kwa nambari hiyo; kama wateja wanagawiza namba yake na mtu mwingine tunapendekeza sana usitumie kipengee hiki.
- Mteja anaweza kuamilisha Kuchaji akaunti Upya Kioto; mara kipengee hiki kinapoamilishwa mteja hukubali malipo yanayotumiwa kwenye kadi karadha wakati masalio yako chini ya $5; mteja huchagua kiasi cha kuongeza kwenye akaunti yake wakati wa kuamilisha Kuchaji Upya Kioto kwa akaunti; Kuchaji Upya kwa akaunti Kioto kutaonekana kama shuguli za mteja.
- Maelezo ya simu yanayotolewa na huduma ya wateja wa ubebaji kuhusu utumiaji wa simu ya malipo ya awali ni ya mwisho na yatachukuliwa kuwa rekodi sahihi/uthibitisho kuhusu utumiaji wa mpango.
- Historia kutoka kwa akaunti ya mteja inapatikana kwa siku 30 zilizopita
- Pointi za Thank You zitatuzwa tu kama akaunti za aliyerejewa na anayerejea ni za watumiaji tofauti.
Makubaliano ya Huduma ya KeepCalling WEB CALL-Yanaweza Kubadilishwa Wakati wowote Kwa Mapenzi ya Mtoaji Huduma
- TelephoneKenya.com tatumia juhudi za kufaa za kibiashara kufanya ufikivu wa WEB CALL kupatikana kwa mtumiaji kwa kutumia itifaki inayohitajika, lakini haitoi waranti au udhamini kwamba mtumiaji atakuwa na ufikivu wa WEB CALL mahali au wakati wowote.
- TelephoneKenya.com haiwajibiki na haitatoa fidia kwa hasara unayoweza kupata kwa kupiga kutahajia vibaya namba ya mpokeaji au kuingiza maelezo yasiyo sahihi.
- Mteja atatozwa kutoka kwenye kadi karadha kwa kila ujumbe mfupi unaochakatishwa na TelephoneKenya.com. Kuchaji nyuma kutatolewa tu kwenye kesi za mbali wakati TelephoneKenya.com inaafirishwa na watoaji kuwa SMS haikutumwa.
- Huduma ya WEB CALL ni huduma iliyoundwa kwa matumizi ya kinyumbani pekee. Utumizi wowote usioidhinishwa wa kibiashara unakatazwa.
- Mteja hukubali kufuata kanunu za kienyeji, kitaifa na za kimataifa. Kwa njia ya mfano, na sio kama uzuizi, mteja anakubali:
- Kutumia huduma kwa muungano na barua mnyororo, ujumbe taka wa simu, taka au ujumbe wowote ambao haujaomba ruhusa (kibiashara au vingine);
- Fikisha kwa kutumia huduma, shiriki na huduma au chapisha kwa huduma sio halali, inayoadhibu, inayokashifu, inayotusi, inayotisha, inayodhuru, chafu au iliyo na yaliyomo yanayoibua upinzani ya aina yoyote ile.
Makubaliano ya Huduma ya Kuongeza Pesa Simu ya Mkononi-Inaweza Kubadilika Wakati Wowote Katika Hiari ya Mapenzi ya Mtoaji Huduma
- Ni jukumu letu kukusanya malipo yote kwa maagizo mlioweka kupitia Mobile Recharge. Malipo yanaidhinishwa wakati unaweka agizo lako, na malipo yatachukuliwa kutoka kwa akaunti ya benki iliyoandikishwa katika akaunti.yako. Vipimo vya Mobile Recharge zinafikishwa kwa mabadiliko bila arifisho la awali.
- Ada ya mchakato isiyozidi $1 inalipwa kwa kila hinduo. Tunaweka haki ya kubadilisha vipimo vyetu, ada au chaguo za malipo wakati wowote bila kukuarifu awali.
- Mobile Recharge imeundwa maalum kwa matumizi ya kinyumbani. Tutakatiza makubaliano ya huduma kama inashukiwa kutumiwa vingine. Makubaliano ya Mobile Recharge haina urefu wa muda wa kiwango cha chini au wakati halisi na itaendelea kuwa na masharti kwa wahusika mpaka itakapokatizwa. Twaweza kukatiza Makubaliano wakati wowote. Tunaweka haki za kuendeleza au kukatiza hinduo zinazoendelea wakati tunapokatiza Makubaliano au wakati wa kuning’inisha au kutoa Huduma.
- KeepCalling haiwajibiki na haitatoa fidia yoyote kwa hasara yoyote unayoweza kupata iwapo utaandika vibaya namba ya simu, ukichagua opereta asiye sahihi au ukiingiza maelezo yasiyo sahihi.
- Huenda ikachukua hadi saa 48 kwa opereta wa simu kusasisha karadha kwenye namba iliyopiwa mapema uliyochagua.
- Kama VAT, ushuru wa mauzo au ushuru umewekewa huduma tunazotoa, lazima utulipe, zaidi ya vipimo vilivyotangazwa, kiwango cha kuongezwa cha ushuru unaoongezwa kwa huduma zetu.
- Opareta wengine wanaweza kuongeza VAT na ushuru ambao utatolewa kutoka kwa malipo ya simu ya mkononi ikitegemea kanuni za mtandao unaofikiwa,
- Mara tu kuchaji tena kunapopokelewa na opareta ambaye maelezo ya mawasiliano yanapatikana kwenye ankra, opareta anawajibika kukamilisha uchajaji.
KEEPCALLING HAITOI WARANTI AU UWAKILISHAJI, HARAKA AU KUMAANISHA, KAMA KWA KWELI AU KWA UTEKELEZAJI WA SHERIA, KATIKA MKATABA AU SHERIA, KISHERIA UA VINGINE IKIJUMUISHA LAKINI SIO KUZUILIWA KWA WARANTI ZA UBIASHARA NA/AU UBORA KWA MATUMIZI AU MADHUMUNI FULANI KUHUSU USAHIHI AU UKAMILIFU WA MAELEZO YOYOTE YALIYOTOLEWA KWA TOVUTI HII, AU BIDHAA AU HUDUMA YOYOTE ILIYOUZWA AU KUNUNULIWA KUPITIA TOVUTI HII.
KeepCalling yaweza kukatiza, kubadilisha, au kuning’inisha kipengee chochote cha tovuti wakati wowote. KeepCalling yaweza kubadilisha, kukatiza au kuning’inisha upatikanaji wa hifadhi data yoyote, yaliyomo, vipengee, au bidhaa ya tovuti. KeepCalling yaweza kuweka uzuizi kwa vipengee, ikijumuisha huduma, utumizi au uzuizi wa ufikivu kwa sehemu au tovuti nzima bila ilani au kuwajibika.
Hakuna tukio litakalosababisha KeepCalling, waajiliwa wake, maafisa, wawakilishi, watoaji huduma, watoaji bidhaa, watoaji leseni, na maajenti kuwajibika kwa madhara ya moja kwa moja, maalum, isiyo ya moja kwa moja, ndogo, nzuri, sahihishaji au yenye matokeo, au madhara ya aina yoyote, ikijuisha lakini haijazuiliwa kwa upotezaji wa matumizi, upotezaji wa faida, au upotezaji wa data, kama ni kwa kitendo cha mkataba, au sheria (ikijumuisha lakini haijazuiliwa kwa uzembe), au la sivyo, inayozuka kutoka kwa au kwa njia yoyote kuhusiana na (i) matumizi au kushindwa kutumia tovuti au yaliyomo, vifaa, programu za ngamizi, maelezo au biashara inayotolewa kwa au kupitia tovuti, au (ii) dai lolote linalotokana na makosa, kutenga, au ukosaji usahihi katika tovuti au yaliyomo, vifaa, programu za ngamizi, maelezo, bidhaa, au huduma kwa au zinazopatikana kwenye tovuti, (iii) gharama ya mipato ya bidhaa na huduma badala inayotokana na bidhaa, data, maelezo ua huduma zozote zinazonunuliwa au kupatikana au ujumbe unaopokelewa au biashara zinazoingiwa kupitia tovuti yetu; (iv) ufikivu usioidhinishwa kwa au mabadiliko ya upitishaji au data; (v) usemi au tabia ya nafsi ya tatu kwenye tovuti yetu; (vi) ucheleweshaji au kushindwa kutekeleza kunakotokana na vitendo vya nguvu, ikijuisha bila uzuizi, vitendo vya kiungu, balaa za kiasili, kushindwa kuwasiliana, vitendo vya serikali, vita, migomo, ubishi wa wafanyikazi, ghasia, upungufu wa zana za kazi au vifaa, uharibifu, ugaidi, kutotekeleza kwa nafsi za tatu au sababu zingine zinazopita udhibiti wao, au (vii) jambo lingine lolote linalohusiana na tovuti, hata kama KeepCalling au wawakilishi wake wameshauriwa kuhusu uwezekano wa madhara kama hayo. Utatuzi wako mkubwa kwa kutorithika na tovuti na/au huduma zinazohusiana na tovuti ni kuwacha kutumia tovuti na/au huduma hizo.
Ubishi unaotokana na ununuzi kwenye tovuti hii au unaohusiana na makubaliano haya, kama hayatatatuliwa na wahusika kwa imani njema, waweze kwa hiari yao, kufikisha kwa waamuzi kwa Shirika la Waamuzi wa Marikani (AAA) katika ofisi zao Georgia. Ubishi wote, ukijumuisha ufafanuzi wa Tuzo la Waamuzi inategemea sheria za Jiji la Georgia, na uhukumu utakuwa na Koti la Taifa la Georgia. Upande unaoshinda katika ubishi utawezeshwa, pamoja na madhara au faraja, gharama za kufaa na ada ya wakili kutoka kwa upande mwingine.
Manunuzi yataonekana kwenye taarifa yako ya kadi ya karadha kama “KeepCalling”. Unakubali kutofaili chaji ya kadi ya karadha kurejelea ununuzi uliofanywa kwenye tovuti lakini badala yake jaribu kutatua jambo hilo na mtoaji huduma – KeepCalling. Kama hukumbuki ukifanya ununuzi – piga nambari katika taarifa yako karibu na chaji.
Katika tukio ambapo utavunja makubaliano haya na uweke uchaji nyuma, kwenye azimio linalopendelea uchaji nyuma aidha na banki iliyotoa kadi karadha, mmiliki wa kadi karadha ua na VISA au MASTERCARD, utakubali kutulipa kwa gharama zozote zimehasiriwa katika uchunguzi na mwitikio kwa uchaji nyuma, ikijumuisha bila uzuizi, gharama zetu zenyewe zilizolipwa kwa watoaji wa kadi karadha au kwa benki na thamani ya wakati waajiriwa wetu walitumia kwenye jambo hilo, kama inavyoazimiwa kwa hiari yetu kwa nia nzuri.
Katika tukio ambapo chaji nyuma inwekwa au inatishiwa kwenye ununuzi, tunaakibisha haki ya kuripoti tukio kwa kujuimuisha kwenye hifadhi data ya washutumu wa chaji nyuma. Tunatumia vyombo vingi vya kuripotia karadha na tutatuma arifisho la kaida kwa mara tu wanapopokea agizo la udanganyifu na/au chaji nyuma. Hii inaathiri sana umaarufu wako wa karadha. Hatuna wajibu wa kualamisha deni kuwa limelipwa, hata baada ya kupokea malipo zaidi kurekebisha hali. Tunatumia mashirika kadhaa ya kuripoti katika mataifa kadhaa ikijumuisha Australia, Marekani, Uholanzi, Uingereza na Yuropa.
Kanuni na Masharti haya yaweza kupatikana katika lugha anuwai kwenye tovuti tofauti za KeepCalling; kama kutakuwa kutakuwa na mgongano kati ya aina ya lugha zingine na aina lugha ya Kiingereza ya Kanuni na Masharti haya, lugha ya Kiingereza itadhibiti.
Kuwasiliana na Wavuti:
Kama una maswali yoyote kuhusu wavuti hii, unaweza kuwasiliana na:
Anwani
TelephoneKenya.com
4780 Ashford Dunwoody Rd, Suite A 236
Atlanta, GA, 30338
United States
Simu
USA Toll Free: +1-866-535-8095
USA, Atlanta: +1-678-791-4125
Canada Toll Free: +1-866-999-2932
Italy, Rome: +39-0699268179
France, Paris: +33-170618432
Spain, Madrid: +34-911876992
United Kingdom, London: +44-2030516925
Australia, Toll Free: +61-1800-336538
Baruapepe
