TelephoneKenya.com Kituo cha Msaada

Jinsi Inavyofanya Kazi

Unda Akaunti Mpya

Unachohitaji na laini ya simu ya kawaida au ya mkononi na unaweza kupiga mahali popote duniani na TelephoneKenya.com.


Fuata hatua hizi rahisi:

  • Unda Akaunti nasi. Hii itakupa ufikivu kwa huduma zetu.
  • Nunua karadha ukitumia kadi yoyote kuu au Paypal. Pata Namba yako ya siri mara agizo lako la kwanza linapokubalika.
  • Uko tayari sasa kupigia marafiki na jamaa simu nyumbani.

    Ili kuboresha uzoefu wako wa kupiga simu, tembelea ukurasa wa Vipengee

Jinsi ya Kupiga Simu

Karadha unayonunua yaweza kutumiwa kupiga simu mahali popote duniani kwa kufuata hatua zifuatazo:

  1. Piga namba ya ufikivu inayopatikana katika eneo lako
  2. Ingiza namba yako ya siri
  3. Piga namba ya mwishilio katika umbizo la kimataifa kama hapa chini:
    • Msimbo wa Nchi + Namba ya Simu.

Unaweza kuruka hatua mbili za kwanza kwa kupiga simu kutoka kwenye tarakilishi yako na programu ya SIMU YA WAVUTI inayopatikana kwenye akaunti yako.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

  • Nini TelephoneKenya.com?

    TelephoneKenya.com ni kampuni ya mawasiliano iliyosajiliwa kwenye Taifa la Georgia, Marekani, iliyo na ofisi zake Marekani, Kanada, Yuropa na Marekani Kusini.

  • Nawezaje kutumia TelephoneKenya.com kupiga simu?

    Lazima ufungue akaunti, nunua karadha na uanze kupiga simu ulimwenguni kote.

  • Nani anayeweza kutumia TelephoneKenya.com?

    Huduma yetu inapatikana kila mahali ulimwenguni kutoka kwenye tarakilishi yoyote, au, kutoka kwa laini yoyote ya simu ya mtu yeyote anayeishi kwenye moja ya nchi ambapo tunatoa namba za ufikivu (bofya hapa kuona orodha kamilifu).

  • Kwa nini viwango viko chini hivi?

    TelephoneKenya.com inatumia teknolojia ya kisasa kukuletea akiba nyingi. Pia, kwa kutoa huduma zetu mtandaoni zina uwezo zaidi kuliko njia zingine za kawaida za usambazaji.

Malipo na Maelezo ya Akaunti

  • Ninawezaje kununua karadha?

    Kununua karadha tembelea ukurasa huu na uingize kiwango unachotaka kuongeza kwenye akaunti yako.

  • Nitalazimika kuunda akaunti?

    Ndio, kila mtu anayetaka kutumia huduma zetu lazima afungue akaunti na TelephoneKenya.com.

  • Kwa nini ninalazimika kuunda akaunti?

    Kwa kufungua akaunti kwenye TelephoneKenya.com, utapata ufikivu wa vipengee vyote maalum tunavyotoa: ufikivu kwa huduma yetu ya kupiga simu bila Namba ya siri, rekodi za simu, masalio ya karadha, kupiga simu maalum, kupiga simu kwa kasi, vipimo kwa nyota na kutoza otomatiki.

  • Ninawezaje kupiga simu bila kuingiza namba ya siri?

    Huduma yetu inaweza fikikwa kutoka simu yoyote bila kuingiza namba ya siri kwa kuandikisha namba zako kwa huduma yetu ya bila malipo ya Kupiga Simu bila Namba ya siri. Kipengee hiki kinapatikana kwenye akaunti yako. Bofya kwenye Akaunti Yangu, halafu Kupiga Simu bila PIN na ufuate maagizo.

  • Mnatoa piga simu kasi?

    Ndio tunatoa huduma ya Piga Simu Kasi kwa namba za simu hadi 10. Ongeza namba za simu utakazo kwenye akaunti yako na utaweza kupigia jamaa na marafiki kwa kuingiza dijiti moja tu. Bofya kwenye Akaunti Yangu, halafu Piga Simu Kasi na ufuate maagizo.

  • Nitawasilianaje na Waegemeza Wateja?

    Tafadhali tembelea ukurasa wetu wa mawasiliano kupata anwani yetu ya baruapepe na namba ya simu.

  • Mtagawiza maelezo yangu ya faragha na nafsi za tatu?

    La. TelephoneKenya.com huthamini faragha yako na haitagawiza maelezo yako ya binafsi na nafsi ya tatu.

  • Nawezaje kubadilisha maelezo yangu binafsi?

    Ingia kwenye akaunti yako na jina tumizi na neno la siri. Mara unapoingia utakuwa na chaguo la kubadilisha maelezo yako yote ya mteja. Bofya kwenye Maelezo Yangu, hariri maelezo yako na ubofye Hifadhi.

  • Nitabadilishaje nywila yangu?

    Unaweza kubadilisha nywila kwenye ukurasa wa maelezo ya mteja katika akaunti yako. Ingia kwenye akaunti yako, bofya kwenye Maelezo Yangu, badilisha nywila na ubofye hifadhi.

  • Nilipoteza nywila yangu la. Nitaiepuaje?

    Bofya kwenye "Nimesahau Nywila" upande wa kulia juu pembeni kwenye tovuti yetu. Ingiza barua pepe yako na ubofye opoa. Tutatuma kiungo kwa anwani ya barua pepe uliyoingiza. Bofya kwenye kiungo hicho ili kuseti upya nywila yako.

  • Nitalipaje?

    TelephoneKenya.com hukubali malipo kadi karadha kwa kupitia Visa, Mastercard, American Express, Discover na PayPal.

  • Ninawezaje kulipa maagizo yangu na -USD kadi zisizo za mkopo?

    Shughuli yako itaonyesha karadha katika USD lakini unaweza kutumia kwa malipo ya kadi yoyote ya mkopo inayokubaliwa sasa na mfumo wetu (Mastercard, Visa, n.k.) inayotolewa katika sarafu ya nchi yako.
    Kiwango cha ubadilishanaji na ada yoyote inayohusishwa na shughuli hutegemea sheria na masharti yaliyoandikwa na mtoa kadi wako wa mkopo. Hatulipishi ada yoyote ya ziada kwa shughuli zinazofanywa na kadi za mkopo katika sarafu zisizo zaUSD .

Maelezo Zaidi Kuhusu TelephoneKenya.com

  • Ni wapi ninapoweza kuona orodha iliyo na bei zote?

    Bofya kwa "Bei" katika upau uabiri. Utaona bei ya chini ya kila nchi. Bofya kwenye jina la nchi kwa bei zaidi za maeneo maalum na mafikio.

  • Mnatoza ada ya ziada au ushuru?

    La, viwango vyetu vinajumuisha ada na ushuru. Hakuna kutoza za ziada isipokuwa bei za matangazo.

  • Namba ya Bure ya Ufikivu ni nini?

    Namba ya bure ya ufikivu (au namba ya Simu ya Bure Uingereza) ni namba maalum ya simu. Kwa kupiga namba ya bure ya ufikivu anayepiga hatozwi kwa kupiga simu na mtoaji huduma ya kupiga simu.

  • Namba ya ufikivu ya kiambo ni nini?

    Namba ya kiambo ya ufikivu ni namba ya kawaida ya simu ambayo unaweza kupiga ili kupata ufikivu katika mtandao wetu.

  • Nitapigaje namba ya kimataifa?

    Ili kupiga simu za kimataifa lazima uongeze karadha kwenye akaunti yako na upige namba moja ya ufikivu. Halafu ingiza namba ya ufikio katika umbizo mojawapo: Msimbo wa Nchi + Namba ya simu.

  • Kwa nini ni ghali kupiga simu ya mkononi katika nchi fulani?

    Kampuni za simu za mkononi huchaji zaidi kwa simu zinazofikia namba za simu za mkononi za mtandao wao.

  • Je, akaunti yangu itawahi kwisha?

    Akaunti yako na karadha hazitawahi kwisha.

  • Je, viwango vyenyu ni sawia hata nikipiga saa ngapi?

    Ndio, viwango vyetu ni sawia 24/7.

  • Ninapiga simu na haiungani. Nitafanyaje?

    Tafadhali hakikisha unapiga namba ya simu sahihi. Kwa usaidizi zaidi wasiliana na Huduma ya Wateja.